Filamu hii inaeleza hatua muhimu ambayo madaktari wanafaa kufuata ili kupata idhini ya wagonjwa kabla ya, wakati ama baada ya uchunguzi wa dhuluma wa kingono. Filamu hii inafaa kutazamwa na madaktari.
Filamu yenyewe imetengenezwa na shirika la Physicians For Human Rights kupitia Programu yao inayo uhusika na dhuluma wa kingono katika eneo za vita na machachari, na inalenga kuimarisha mafunzo ambayo Programu hii hupangia wataalamu wa: kidaktari, utekelezaji wa sheria na kisheria kuwasaidia kukusanya na kuhifadhi ushahidi wa dhuluma wa kingono.